Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Waliomteka Bonge haitofautiani sana na yule wa Dar 24, wote wanajulikana sema kwa Bonge wameonekana na Watanzania wote, wapo waliotoa taarifa zao huko X na kule Stedi ya Magufuli wanajulikana vizuri japokuwa walikuwa wakitumia majina tofauti, wala siyo siri, lakini mpaka sasa hakuna aliyetiwa nguvuni, si wale walijaribu kwa Mkurugenzi wa Dar 24 wala kwa bonge! Hao akina Chaula na Soka ndio matumaini yametoweka kabisa kuwapata wazima, huku nako mpaka leo kimya!
Leo anakuja kuchukuliwa mwingine kwa style ileile, na kwa huyu inaweza kuwa kama akina Soka! Polisi mnaepuka vipi kuhusishwa kwenye matukio kama haya kama watu wanajulikana lakini hawatiwi nguvuni? Serikali mnaepuka vipi kikombe hiki kama mko goigoi kushughulika na matukio kama haya?
Au mnasubiri karibu na kampeni ndio muwatoe kusema juhudi za serikali zimekomesha watu wasiyojulikana ili mpate justification ya kushinda kwa kishindo? Nacheka lakini ni si kwa kububujikwa machozi ya furaha!
Na huzuni na fedheha kubwa kuliko zote ni kwetu wananchi, wenzetu wanatekwa tunaangalia! Tunawabananisha majambazi lakini tunashindwa kuwataitisha watekaji! Tunaelekea kubaya!