Waliojenga kando ya bahari au maziwa, majitaka yao huenda wapi?

Waliojenga kando ya bahari au maziwa, majitaka yao huenda wapi?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Kwa hapa Tanzania, na huko Ulaya. Huwa yanaenda wapi?

Lungerersee_from_Brünigpass.jpg

 
Unauliza vitu obvious , alaa majani duniani kote huanguka chini na sio juu its nature wala hauhitaji pHd kujua haya mambo
 
Majitaka yote ya Daresalam yanaishia baharini.... MUHIMBILI LIMEJENGWA BOMBA KUBWA SANA UCHAFU WOTE UNAELEKEA BAHARINI.....
 
Ni chakula pendwa cha samaki.... Mimba changa, mauchafu ya vidonda, minyamanyama ya operation..... Matapishi, uharo, mikojo, usaha, makohozi. .... UCHAFU WOTE NI CHAKULA CHA SAMAKI.
 
Back
Top Bottom