"Ni lazima ifikie pale ambapo hata kama shweitani atakuwa ndiye mtawala (rais), itakuwa ni lazima afanye kile ambacho Waghana (wananchi) wanataka na wala siyo kile ambacho yeye shweitani na genge lake wanataka."
Lazima awepo kiongozi wa kufanikisha haya unayoandika, kama ni hawa waliopo au wengine tofauti, muhimu wawepo viongozi, kujiendea wenyewe ninsawa na kutokujua dira.