Waliojiunga na Umoja Fund "Unit Trust of Tanzania"

Waliojiunga na Umoja Fund "Unit Trust of Tanzania"

Shori

Senior Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
146
Reaction score
25
Jamani naomba kufahamu faida inayopatikana kwenye mifuko ya UTT inatolewa katika mfumo wa simple interest au compound interest; yaani faida inakuwa inajumlishwa na mtaji au usipo nunua vipande vingine mtaji wako haungozeki?

Tafadhali kama unaufahamu na hicho kitu nisaidie mimi nipo mbali na ofisi zao.
 
Mkuu pitia kwenye tovuti yao hapa Utt home page nadhani humo utapata mengi zaidi hasa kuhusiana na huo mfuko wa Umoja. Tafuta offer document ya mfuko wa umoja ambayo utaipata humo kwenye tovuti ina maelezo ya kutosha.
 
Jamani naomba kufahamu faida inayopatikana kwenye mifuko ya UTT inatolewa katika mfumo wa simple interest au compound interest; yaani faida inakuwa inajumlishwa na mtaji au usipo nunua vipande vingine mtaji wako haungozeki????
Tafadhali kama unaufahamu na hicho kitu nisaidie mimi nipo mbali na ofisi zao.

pitia hapa mkuu utt-tz.org/umoja_fund_uo.php
 
Back
Top Bottom