crome20
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 1,193
- 810
Kwanza natoa pole kwa kumpoteza Kipenzi chetu Dr Mvungi kwa sababu ya ujinga wa baadhi ya Watanzania wenzetu. Pili naomba kuuliza iwapo mtu amemjeruhi mwenzake, na baada ya muda majeraha hayo yakasababisha mtu kupoteza maisha, je kisheria mtuhumiwa anaweza kubadilishiwa mashtaka na kuwa ya mauaji? Please help me out of this because I want to see the criminals involved in the attack to Dr Mvungi meet the wrath of the law.