Waliokatwa ugombea CDM 2025 poleni; lkn karibuni CCM (Mama atawapokea)

Waliokatwa ugombea CDM 2025 poleni; lkn karibuni CCM (Mama atawapokea)

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Nimesikitika sana na vitendo viovu na hujuma mnazosema mmefanyiwa.
" Wote mliokatwa majina,
  • Wote mlioenguliwa,
  • Wote mtakaodhihakiwa,
  • Wote mnaopenda demokrasia pana,

Kwa mikono miwili na kwa upendo wa hali ya juu mnakaribishwa ktk chama kizuri cha CCM.

Ulizeni waliokuja i.e Msigwa, Mtatiro nk watawaambia CCM ni kuzuri kwa kuwa kuna demokrasia pana na komavu.

Msakila Kabende
K/Magharibi mwa
Tanzania
 
Back
Top Bottom