Kabende Msakila JF-Expert Member Joined Oct 7, 2020 Posts 1,809 Reaction score 1,692 Jan 20, 2025 #1 Nimesikitika sana na vitendo viovu na hujuma mnazosema mmefanyiwa. " Wote mliokatwa majina, Wote mlioenguliwa, Wote mtakaodhihakiwa, Wote mnaopenda demokrasia pana, Kwa mikono miwili na kwa upendo wa hali ya juu mnakaribishwa ktk chama kizuri cha CCM. Ulizeni waliokuja i.e Msigwa, Mtatiro nk watawaambia CCM ni kuzuri kwa kuwa kuna demokrasia pana na komavu. Msakila Kabende K/Magharibi mwa Tanzania
Nimesikitika sana na vitendo viovu na hujuma mnazosema mmefanyiwa. " Wote mliokatwa majina, Wote mlioenguliwa, Wote mtakaodhihakiwa, Wote mnaopenda demokrasia pana, Kwa mikono miwili na kwa upendo wa hali ya juu mnakaribishwa ktk chama kizuri cha CCM. Ulizeni waliokuja i.e Msigwa, Mtatiro nk watawaambia CCM ni kuzuri kwa kuwa kuna demokrasia pana na komavu. Msakila Kabende K/Magharibi mwa Tanzania