Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
ndo atakuwa kawaelekeza pakwenda ni huko cyo mahakamaniLucas hakosi hapo 😂😂
Hawa Ghasia yupo Chama kipi? Soko hilo ni la CCM wewe ulikua haujui?Nani kawachuuza kirahisi hivi? Tangu lini ccm ilikuwa na msaada kwenye mambo haya?
Huyo mama kumbe ana mbio vile!Hawa Ghasia yupo Chama kipi? Soko hilo ni la CCM wewe ulikua haujui?
Washagawana makada wa CCMl tayari!🤣🤣🤣Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Dar es salaam.
Kwamba Wale waliokuwa wafanyabiashara wa soko hilo kabla halijaungua na ambao majina yao hayapo kwenye mkeka mpya, wameandamana kuelekea ccm Lumumba!
Sasa sijajua kama ni wajinga au la, Maana hawakupaswa kuelekea huko badala yake walipaswa kwenda kwenye mamlaka husika
Nani kawachuuza kirahisi hivi? Tangu lini ccm ilikuwa na msaada kwenye mambo haya?
View attachment 3039352
CCM noma sana!Watu wenye hela zao washabeba nafasi zao. But wamewafanyia vibaya ni ajali ya moto ilitokea. Wangewarudisha wote, washindwe wenyewe kodi au ushuru. Machinga complex walifanya hayahaya.
Mda c mrefu utasikia tena limeungua, naskia pale kkoo shimoni pana vinu vya nyukiliaWaliotegemea wapewe tu Karikoo kimchezo mchezo tu! Sio Tanzania hii
Kama wanavyoiamini Wamasai wa NgorongoroWatanzania bado wana imani kubwa na CCM,
Lucas Mwashambwa yuko zake Mbozi anafakamia maparachichi hadi ameota kiriba tumboLucas hakosi hapo 😂😂
NaamKama wanavyoiamini Wamasai wa Ngorongoro