Waliokereka na matokeo ya leo

Waliokereka na matokeo ya leo

Usisahau kutuwekea na msimamo wa ligi ,,nihayo tu
Msimamo huu hapa
FB_IMG_1601220857519.jpg
 
Hapo kinacho kufurahisha kwenye msimamo ni kipi?
Wapi niliandika kuwa nimefurahia msimamo wa ligi? Nimeongelea maneno ya watu kusema kuwa Yanga hawatopata matokeo kwenye viwanja vya mikoani lakini hadi Sasa alama 6 zimepatikana kwenye viwanja vya mikoani
 
Back
Top Bottom