Baeleze baelezeVipi wale waliotoa kauli za kwamba Yanga inashinda kwa tabu kwenye uwanja wa mkapa, akienda mkoani hawaambulii kitu.
Barbara FC utawaweza,Vipi wale waliotoa kauli za kwamba Yanga inashinda kwa tabu kwenye uwanja wa mkapa, akienda mkoani hawaambulii kitu.
Usisahau kutuwekea na msimamo wa ligi ,,nihayo tuVipi wale waliotoa kauli za kwamba Yanga inashinda kwa tabu kwenye uwanja wa mkapa, akienda mkoani hawaambulii kitu.
Hapo kinacho kufurahisha kwenye msimamo ni kipi?Msimamo huu hapaView attachment 1582823
Wapi niliandika kuwa nimefurahia msimamo wa ligi? Nimeongelea maneno ya watu kusema kuwa Yanga hawatopata matokeo kwenye viwanja vya mikoani lakini hadi Sasa alama 6 zimepatikana kwenye viwanja vya mikoaniHapo kinacho kufurahisha kwenye msimamo ni kipi?
Watajibebaje??.....Vipi wale waliotoa kauli za kwamba Yanga inashinda kwa tabu kwenye uwanja wa mkapa, akienda mkoani hawaambulii kitu.