talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
xa me cjamuelewe eti waandike majina yao hlf watapata mjib baada ya wk moja, je ambaye yupo mtwara au kigoma na yeye aandike jina lake wapi?
na bado kitaeleweka tuu
ijumaa tutapewa majibu yetu so kila mtu afike il apate kujibiwa hapa ni lazima tupewe haki yetu ndio mambo yaende sawa na KESHO nitawasiliana na NAIBU WAZIRI MH MULUGO ILI AJUE WALE AMBAO WALITAJWA KUPEWA KIPAUMBELE NDIO WAMEKOSA mf,yatima,masikini$priority courses na WATU WALIOKOSA NI 23,300:jamani hata kama ni kwa RAISI itabidi twende