Waliokosa mkopo waongezeka mwaka huu wa 1013

talentbrain

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,187
Reaction score
760
Takribani wanafunzi zaidi ya Elfu 23,000 waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu mwaka huu wamekosa mikopo kwaajili ya kuwawezesha kusoma Elimu ya juu. Hawa ni watanzania na wengi wao ni masikini wa kutupwa. Tunaandaa taifa lenye mpasuko mkubwa. Yangu macho!!!

Una lipi la kusema juu ya hali hiyo?




source
East Africa Radio
 
Kijana wangu yeye kaliona kosa la kimaandishi tu ndo kainuka nalo. Hiyo ni typing error. Ila muktadha wake ni mpana zaidi ya makosa ya kimaandishi.
 
mwaka 1013 mmmmmmmhhh

ndo umeshamaliza hapo huna addition yoyote!!!
mada hapo juu ni muhimu sana kuliko huo unarrow thinker wako!!!!!!!!!!!!
au ww ticha umekula 100%????
 
daaah,inatia huruma sana unakuta mtu anasoma tangu primary hadi A'level shule ya serikal bt anakosa mkopo jaman kiuhalisia hata hawalioni hilo hata kama course haina loan kwann wasiangalie hilo japo kwa jicho la pembeni,watoto wa masikini tunakosa afu walionazo wanapata,mwaka huu inabidi niende jkt tu heslb wameninyima mkopo siwez kujilipia ada accomodation& food!
 
ah ni stress tu wadau...naona tulioomba kwa nacte wote tumepgwa chini...yan hola kudadeq...mwaka huu cjui tutasomaje
 
ah ni stress tu wadau...naona tulioomba kwa nacte wote tumepgwa chini...yan hola kudadeq...mwaka huu cjui tutasomaje

Ngoja tusubiri kwa kuwa haya ni matokeo ya wale ambao wameomba kwa mara ya kwanza,pengine diploma holders wametengwa kama ilivokuwa kwenye selection for admission.
 
mmmhh hii ndio Tanzania yang kuxoma kwang kote cjawah kulpa ada zaid ya 350,000 leo mkopo nkoxe itakuaje KWA HAPA CZAN KM KUTAKUWA NA UZALENDO
 
mmmhh hii ndio Tanzania yang kuxoma kwang kote cjawah kulpa ada zaid ya 350,000 leo mkopo nkoxe itakuaje KWA HAPA CZAN KM KUTAKUWA NA UZALENDO WA NCHI HII ALIYEXOMA FEDHA KAPEWA WA KATA UNANYIMWA mmmhh!
 
Kwann usiapply faculty zenye priority kama ualimu?? Tatizo vijana mnaudharau ualimu, sasa mtakula jeuri yenu!
 
sio kila faculty yenye priority wamepata hata wenye non-priority wamepata weng tu.
 
Kwann usiapply faculty zenye priority kama ualimu?? Tatizo vijana mnaudharau ualimu, sasa mtakula jeuri yenu!

Da aya mamboa ya kicenge kweli yaan nmesoma kata mwanzo mwisho leo body wannizingua tena
Poa naingia jeshin sasa
 
Ukiambiwa u are not secure wanamanisha nn?
Coz kwenye page yangu wameniandikia ivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…