wadau wale walioomba mikopo heslb, majina ya watu waliokosea baadhi ya vitu yametoka na mwisho wa marekebisho ni tarehe 10 mwezi wa tisa tembelea website ya heslb kuangalia jina lako kama lipo na baadhi ya vitu hivyo ni kama:-
- kutosaini mdhamini.
- mwombaji kutosaini.
- kusahau kuambatanisha vyeti kama cheti cha kuzaliwa au kopi ya kitambulisho cha mdhamini.
- kutobandika passport ya mwombaji au ya mdhamini