waliokosea baadhi ya vitu kwenye fomu za mkopo 2014/2015

wisely

Member
Joined
May 11, 2014
Posts
32
Reaction score
4
wadau wale walioomba mikopo heslb, majina ya watu waliokosea baadhi ya vitu yametoka na mwisho wa marekebisho ni tarehe 10 mwezi wa tisa tembelea website ya heslb kuangalia jina lako kama lipo na baadhi ya vitu hivyo ni kama:-
  1. kutosaini mdhamini.
  2. mwombaji kutosaini.
  3. kusahau kuambatanisha vyeti kama cheti cha kuzaliwa au kopi ya kitambulisho cha mdhamini.
  4. kutobandika passport ya mwombaji au ya mdhamini
 
wapi tuanaona hayo majina sasa na webste ya heslb haifunguki. naomba mwongozo wanajamvi..........
 
Kuna “sredi“ kadhaa zipo humu tangu juzi wadau waliyabandika

Hebu zitafute
 
asante kwa taarifa nzuri
:deadhorse:
 
Tena afadhali uwe hujaambatanisha baadhi ya copies unaweza kutuma ila kama hujasign huna budi kwenda bord mwenyewe na kama mdhamin naye hakusaign hapo sasa itabidi uende naye!!!!
 
Mwenye hayo majina tafadhali naomba tuwasiliane kwa PM nina majina nahitaji kufahamu kama yamo miongoni mwayo.Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Oiiiii kama yupo basi mwenye majina hayo tuambiane coz web yaoo toka jana inazingua saaana
 
majina nlidownload kwenye pc ncheck kwenye namba hii 0756244475 ntakuangalizia free
 
jaman vipi kuna jamaa kaiprint form ktk printer icyotoa rangi hvy logo ya heslb kutokuw na rangi,,,, vp atazinguliw mkopo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…