Waliokua wanaipaka matope Al hly leo wapo kimyaa kama sio wao.

Ituzaingo Argentina

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2020
Posts
1,868
Reaction score
2,191
Baada ya pitso mosimane kuondoka nchini misry na kuachana na mabingwa wa kihistoria Al ahly, kuna wabongo wa kukariri mpira walianza malalamiko na makasiriko kwamba al ahly watapata tabu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… sasa wazee wa kukariri mpira mmekwama na pitso wenu, ni kwamba mmeumbuka.

Al ahly iliyofanya vibaya kwa pitso leo hii inaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 6 dhidi ya Pyramids.

Fifa club World cup tumempiga Auckland goli 3, na seattle sounders tukamwasha kimoja, na next game tunakutana na madrid semi final.

Haya endeleeni na lawama zenu zisizoisha, na huko saudia Arabia daraja la pili timu yake imeshuka na sasa inashika nafasi ya 4 na pitso wao.. siku wakimfukuza msianze kusema waarabu ni wabaguzi.

Tuacheni uswahili uswahili
 
Dah kuna maadui wa al ahly humu, watanzania kujibebeshaga mizigo mnajuaga.
 
Dah kuna maadui wa al ahly humu, watanzania kujibebeshaga mizigo mnajuaga.
Huyo ni shabiki wa utopolo,huwa hawawezi kuzungumza mafanikio yako bila kutafuta ubishani.
Sidhani kama kuna watanzania wanajali chochote kuhusiana na maamuzi ya al ahly.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…