Waliokuwa wakiuliza ni kwa nini soda zimeadimika hatimae jibu limepatikana!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
Wiki takribani tatu, soda mtaani zimekuwa adimu sana hadi kupelekea wadau wa soda kuleta nyuzi huku kuulizia kulikoni soda kuadimika!

Hakuna ubishi soda za kampuni ya cocacola, mfano fanta na nyinginezo zimekuwa adimu mtaani hadi wengine kusema huenda kampuni imefilisika!
Jibu la kwa nini zimeadmika limepatikana baada ya connection flani kuvuja mitandaoni zikionyesha matumizi mbadala ya chupa za soda katika kutibu na kumaliza ashki za akina dd!

Hii inaonekana kwamba hii mbinu imegunduliwa kitambo na hivyo basi watu hao kuamua kununua stock za kutosha na kuzihifadhi majumbani au store ili pindi wanapohitaji kujifyetua basi inakuwa rahisi!

Kutokana na kuvuja kwa connection hiyo, ni wazi hata wale ambao walikuwa hawajui hiyo mbinu wataanza kuitumia ili kujifyetua!

Hivyo basi wale wadau wa soda wajiandae kisaikolojia, kwani kwa sasa uhaba utaongezeka mara dufu maana wapo watumiaji wapya watakaoibuka na kuzimaliza kabisa soda za chupa madukani!

Tunachoomba chonde chonde wasihamie kwenye bia tafadhali!

Ikitokea bia zikaadimika mtaani basi watumiaji wa bia, tutaanzisha maandamano ya amani ambayo hayatakuwa na kikomo!

Kwa sasa watumiaji wa soda wawe watulivu katika kipondi hiki ambacho ni kigumu kwao, waendelee kutumia chai wakati malalamiko yao yakiendelea kushughulikiwa!!
 
binti wa watu ana sura ya upole, sasa amepata aibu na chuo huenda akavukuzwa kisa upumbavu
 
Ashki majnuni
 
Hawezi kufukuzwa, yupo sanaa bado. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule wa Sua wa wood technology aliyejirikodi anacheza uchi alivukuzwa na yule wa must pia miss must nae alitimuliwa sasa sjui huyo kwa nn wamemuacha
 
Back
Top Bottom