Waliomaliza chuo 23/24 wakutane hapa.

Waliomaliza chuo 23/24 wakutane hapa.

Nawaonya wadogo zangu msianze kutuletea nyuzi za kipuuzi puuzi mkishashiba ugali wa shemeji hiyo ni fursa kaa fikiria maisha yako ukishindwa mshauri anayekupa ugali muanzishe ufugaji wa kuku au mradi wowote wa kukushughulisha hata kama hautapata pesa moja kwa moja. Hii itampa hamasa anayekulisha kuamini unachokula hakiendi burebure.

Changamsheni bongo zenu msikae kizembe zembe. Hata sisi wengine bado mambo magumu msijehisi tumeshajipata
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom