Waliomaliza Diploma 2013 kukosa Mkopo: NACTE wawalaumu HESLB?

Mm pia nimekosa nilitumia dip. Mdau hapo juu anasema wa nacte bado mkop,si kweli,kama bado lisingeandika hl neno la not secure pia kwanini wengine wamepata na waliomba kupitia nacte?
 
haya majanga watu wa diploma tuandamane na tindikali kwenye makopo
 
Kwa bahati mbaya mpaka mda huu sijajuwa matokeo ya mkopo wangu maana net imekuwa mgogoro kwetu p/z nisaidieni
 
Nieleweni kaka.. nimesema wale waliomaliza diploma mwaka huu.. ila walomaliza mwaka jana wengi wamepata..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…