Elimwami Member Joined Apr 12, 2014 Posts 8 Reaction score 3 May 26, 2014 #1 Jamani najua mnaendelea na ujazaj wa form za loan board but kuna hili la TCU, je ni bora utume elf hamsini kwa njia ya NBC bank au ununue vocha CRDB kote ni elfu hamsini?Na mda wa kushughulika na TCU ni saiz au baada ya matokeo?nawasilisha!
Jamani najua mnaendelea na ujazaj wa form za loan board but kuna hili la TCU, je ni bora utume elf hamsini kwa njia ya NBC bank au ununue vocha CRDB kote ni elfu hamsini?Na mda wa kushughulika na TCU ni saiz au baada ya matokeo?nawasilisha!