Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Wewe ulimaliza mwaka gani?
watu mmnatoa reason bila ya uzoefu ni hili swala,,,reason ni moja tu,,,elimu ya 2011 kuenfelea ni competence based,,na hawakujiandAa both students,necta and moe,,,elimu ya 2010 kushuka chini ilikuwa content based maswali yanarudiwa kama hawana akili,,wamezaji ndo walikuwa TO ,,,
Hata hivyo hakuna competence ambayo wanaitekeleza, huwa nnaangalia mitihani yao, labda kwa vile mie nmezoea sayansi ndio maana naona hali ni ile ile, pia maswali ya competence ni rahisi kwa sababu mtu yeyote alie elewa anauwezo wa kujibu.
Nimegundua ubora wa elimu hapa TZ,ulianza kushuka miaka ya 2008, kama tunakumbuka kipindi hiki(kikwetism) mitihani ya taifa form 2 na form 4 ilivuja mno, Madogo wengi walitusua kwa kwenda shule za vipaji maalum. Miaka ya hapa kati 2009,2010,....,...2012 elimu yetu bado ilikuwa ikilegalega. Matokeo ya mtihani form iv 2013,SERIKALI imeamua kuwabeba wanafunzi na kujiriDHIsha kuwa inatekeleza sera ya BRN. Kwa maelezo haya mi naona msomi wa mwisho kumaliza form IV nchini TANZANIA ni yule aliyemaliza miaka ya 2007,2006,2005....... Hawa wa miaka ya 2008,2009,........ ni wasomi wa kupewa maksi na serikali! Au ninyi mnaonaje wakuu?
Ila kuna mabo mengi sana yanayo changia zaidi ya competence.........tume ya PINDA inayajua vizuri sema hawakutaka kuyasema hadharani.its better na ya sasa kuliko zamani
Mi ni msomi,niliyemaliza form four miaka ya 2007,2006,2005.........
watu mmnatoa reason bila ya uzoefu ni hili swala,,,reason ni moja tu,,,elimu ya 2011 kuenfelea ni competence based,,na hawakujiandAa both students,necta and moe,,,elimu ya 2010 kushuka chini ilikuwa content based maswali yanarudiwa kama hawana akili,,wamezaji ndo walikuwa TO ,,,
Msomi ni mtu wa aje? Form 4 2005!am sure hata doctorate huna
Mwaka 2007 ulikuwa ni highest peak kwa ufaulu na baada ya hapo mambo yalianza kuvurugika sana, mambo mengi yanachangia.
1. Walio maliza 2008 kama mnakumbuka walivurugwa na Mungai (hawa ni watu wa physics with chemistry.
2. Watu wa 2009 hawa hawakuwa na mtihani wa form two, wasiojiweza wengi walifika form four.
3. 2010 kulikuwa na uchaguzi wa kitaifa, kila mtu alikuwa bize na siasa, kama mnakumbuka mwaka huu nia halisi ya mgomo wa walimu ili wapandishiwe mshahara ilionekana.
4. Mwaka 2010 pia watoto walilipiwa ada ya mtihani na serikali, kwa hiyo ni lazima serikali ifanye kila linalo wezekana.
5. Mwaka 2011 hawa watoto pia hawakuwa na mtihani wa form two, na mgomo baridi wa walim uliendelea kushika kasi.
6. Mwaka 2012 mgomo wa walimu uliingia hadi vijijini na kuanza kuingia mioyoni mwa walimu na mwaka huo huo kulikuwa na mgomo dhahili wa walimu japokuwa ulikatizwa.
7. 2012 huu mwaka licha ya kuwa na mgomo dhahili wa walimu, pia mwaka huu kulikuwa na sensa iliyo chukua mwezi mzima, what do you expect from these two?
8. Mwaka 2013 up to date mgomo wa walimu (mgomo baridi) umeingia uvunguni mwa mioyo ya walimu, na hivi sasa nao wamefunga EFD/LUKU kwenye ufundishaji siku hizi walimu wanasema FUNDISHA KADRI UNAVYO LIPWA (FUKU).
9. Kuna sababu zingine nyingi, kama miundombinu mibovu, mazingira yasiyo rafiki katika ufundishaji, na nyingine nyingi.
10. Slogani mpya ya serikali ya "SIASA KWANZA ELIMU BAADAE" nayo imechangia kwa kiasi kikubwa, kusema kweli wakuu wa shule wanapata tabu sana na hawa watu waitwao madiwani.
Mie ni hayo tu wandugu, i stdand to be corrected.