Habari, Kuna tangazo lilitoka la MDA's na LGA's muda kama mwezi na kitu hv nami niliomba lakini mpaka leo sijaona tangazo la kuita kwenye usaili toka PSRS. Je Kuna mtu aliona tangazo la usaili juu ya tangazo hilo au ana maelezo zaidi tafadhali.?
Tarehe ya usaili bado hawajatangaza hata mim niliomba, endelea kusubili mda wowote wanaweza toa soo kaa tayar maana taasis nyingi zimeanza kutoa tareh za interview