wamesema TCU ndio wana mamlaka ya kuwaambia bodi kuhamisha mkopo,kama jina lako litakuwepo kwenye transfered students,bac litatumwa bodi kwa uhamishiwaj wa mkopo kama ulipata lakin!
me ni miongoni mwa tulio hamishwa, nlienda bodi ya mkopo jumanne, rum no 24 nkaambiwa niandike barua ya kueleza, plus copy ya majina kwenye web ni highlight jina langu, nimemalza hzo narudsha rum no.9 nkaambiwa hakukua na umuhmu wa kufanya hvo coz tcu watapeleka list ya transfad students, bt mkopo we2 utachelewa kidogo! Nawasilisha
Mlifanikisha kuhamisha? Tujuzeni wengine tuna tatizo hili mpaka sasa hatuelewi
pesa nilipata but very late kwenye april this year, but the good news is that tulipata zote na za nyuma at atime yani me iliingia kama 2,052,000 tsh hivi. baada ya hapo nikaendelea kupata kama wengine
Asante sana kaka. Vipi mkopo unahama kias kilekile au wanafanya mabadiliko? Kwa mfano mwanzo tuition fee wamenilipia laki 9. Je wataihamisha hiihii??