Waliomba ualimu, ustawi na kada nyingine, wamemaliza kutoa majina?

Waliomba ualimu, ustawi na kada nyingine, wamemaliza kutoa majina?

Eliya luoga

New Member
Joined
Dec 16, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Samahani naomba kujua kama majina ya waliopata kazi na uwalimu, ustawi wa jamii,maendeleo n.k kama wameshamaliza kuyatoa?
 
Wa shule ya msingi washa ajiriwa kweli??? Maana sijawaona kabisa hapa halmashauri waki report
 
Back
Top Bottom