E Eliya luoga New Member Joined Dec 16, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Feb 28, 2025 #1 Samahani naomba kujua kama majina ya waliopata kazi na uwalimu, ustawi wa jamii,maendeleo n.k kama wameshamaliza kuyatoa?
Samahani naomba kujua kama majina ya waliopata kazi na uwalimu, ustawi wa jamii,maendeleo n.k kama wameshamaliza kuyatoa?
Mikopo Consultant JF-Expert Member Joined Oct 28, 2024 Posts 529 Reaction score 1,150 Feb 28, 2025 #2 Wa shule ya msingi washa ajiriwa kweli??? Maana sijawaona kabisa hapa halmashauri waki report