Waliombeza RC Makonda leo mmeumbuka

Waliombeza RC Makonda leo mmeumbuka

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
697
Reaction score
1,358
Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..

Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?

Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.

Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hio kamati ni ya roho mbaya, isitoshe kila wakipata nafasi badala ya kueleza mikakati mizuri ya ushindi wao huanza kumsifia jiwe, hin kamati ina laana, ndio maana ina ahidi vilevi vitapungua bei!
Kazi waliyopewa ni kuhakikisha Taifa stars inashiriki AFCON.
Au hujasikia matokeo ? Kazi waliyopewa wameikamilisha vizuri sana na tunafuraha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio upumbavu unao endelezwa na watu wasiyo na vision za kimaendeleo unavyo zidi kulighalimu taifa yaani hapo Makonda kafanya nini cha zaidi hadi uanze kumsifia ujinga ujinga?kafunga magoli mangapi?
Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda.Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Mkuu hio kamati ni ya roho mbaya, isitoshe kila wakipata nafasi badala ya kueleza mikakati mizuri ya ushindi wao huanza kumsifia jiwe, hin kamati ina laana, ndio maana ina ahidi vilevi vitapungua bei!
Kamati ingekua na laana leo Tanzania ingefungwa. Sijui labda unaongelea LAANA ipi

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Wewe ni bwege kweli Makonda ndiye kafunga magori ama..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idiot and insane
Kamati ingekua na laana leo Tanzania ingefungwa. Sijui labda unaongelea LAANA ipi

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

In God we trust
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na kamwe hawataweza kuvitoa ni porojo tu
Mkuu hio kamati ni ya roho mbaya, isitoshe kila wakipata nafasi badala ya kueleza mikakati mizuri ya ushindi wao huanza kumsifia jiwe, hin kamati ina laana, ndio maana ina ahidi vilevi vitapungua bei!

In God we trust
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huo ndio upumbavu unao endelezwa na watu wasiyo na vision za kimaendeleo unavyo zidi kulighalimu taifa yaani hapo Makonda kafanya nini cha zaidi hadi uanze kumsifia ujinga ujinga?kafunga magoli mangapi?

In God we trust
Makonda kahamasisha watu kushangilia stars na wachezaji wamepata nguvu na wale wa Uganda kujiona inferior. Mbona hii iko wazi? Bila makelele the crane mngewawezea wapi nyie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia wewe mwanamke.. Ni nani anaeweza kuchukua aibu ya kufungwa CS, mpira ni mchezo ulio straight forward unaonekana barca alimfunga psg 6-1 kwao apite.. Agh kwanza yanini nikuelezee haya yote najichosha tu.. Roho mbaya tu zinawasumbua.. Kama mmechukia mtazidi kupruviwa wrong
Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?

Sent using Unknown device
 
Back
Top Bottom