Kina Ndugai walikuwa wakiona mbaali sana, walikuwa wakiziona hizi nyakati, walionya wakapuuzwa na viongozi wa ccm, leo kiko wapi
Nchi kujitegemea ndio mpango mzima ingawa mwanzo una maumivu yake lakini ndiyo heshima yenyewe
Kina JPM (RIP) walikuwa na jicho kali sana, walijua kuwa, kuna siku hawa wafadhili wakuu wa nchi zetu hizi masikini watalianzisha tu
Na ndiyo maana tulifikia mahali, hata chaguzi zetu, kutumia pesa zetu ili kuongeza uhuru wa nchi kujiamulia
Ndugai aljisemea tu, jamani, ni vema kama nchi kuvaa mkanda na kuanza hatua ya kujitegemea nakuondokana na kutegemea mikopo
Matokea yake ikaonekana ni kama kasema matusi ya nguoni na kosa la jinai, akachomolewa usipika
Tuwaulize, Ndugai yeye kasema tu kwa mfano, na sasa mfano umekuwa hai kwa lazima, mumwombe radhi basi