Hello sissiwezi jua cha kumuambia bila kujua sababu ya yeye kutaka kutoka au yeye kutotaka ingia kwenye mapenzi......kuna sababu ukizisikia unamsahauri atoke faster,kuna nyingine zinavumilika.....:rain:
Marafiki wabaya kama huyo kwenye RED ndio wanaovunja ndoa za watu...Unapoamua kuianza safari hii ndefu huna budi kuzikubali changamoto zake,Mapenzi ni matamu sn iwapo kwa wkt huo kila mmoja anampenda mwenzake huyo ukimuuliza atakwambia yeye hatamani kutoka tena hujitoa kwa khali na mali kulitetea penzi lake.Lakini yule anaeteswa na penzi ukimuuliza atakwambia mengi tena yenye kulaani huku akiahidi hatopenda tena maisha yake yote.Ushauri kama ni wewe ungemshauri nini yule anaetamani kuingia?na je yule anaetamani kutoka utamwambia nini?
Yote haya ni mapenzi.
Unapoamua kuianza safari hii ndefu huna budi kuzikubali changamoto zake,Mapenzi ni matamu sn iwapo kwa wkt huo kila mmoja anampenda mwenzake huyo ukimuuliza atakwambia yeye hatamani kutoka tena hujitoa kwa khali na mali kulitetea penzi lake.Lakini yule anaeteswa na penzi ukimuuliza atakwambia mengi tena yenye kulaani huku akiahidi hatopenda tena maisha yake yote.Ushauri kama ni wewe ungemshauri nini yule anaetamani kuingia?na je yule anaetamani kutoka utamwambia nini?
Yote haya ni mapenzi.