Waliompora Kim Kardashian vitu vya Bilioni 24 watiwa nguvuni

Waliompora Kim Kardashian vitu vya Bilioni 24 watiwa nguvuni

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Takribani watu 15 wanashikiliwa kwa tuhuma za kuhusika na tukio la kumpora nyota wa vipindi vya televisheni, Kim Kardashian.

Mwanadada huyo aliporwa vitu vyenye thamani ya takribani Shilingi Bilioni 24 katika tukio lililotokea mnamo mwezi Octoba mwaka jana.
======
At least 15 people have been arrested in connection with an armed robbery of Kim Kardashian-West in Paris in October, French media report.

Authorities said at the time that the American reality TV star was robbed at gunpoint by at least two men dressed as police officers.

The gang entered Kardashian-West's luxury apartment before tying her up and locking her in the bathroom.

They escaped with an estimated € (£8.7m; $11.2m) in jewellery.

Source: BBC
 
Hizo 24b wangekuja nazo bongo tukawaficha kama faru John wala wasingekamatwa [emoji4]
 
Back
Top Bottom