johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa sasa CCM haina mbadala hadi 2050!Atakae chagua ccm 2025 akapimwe akili
Utamchagua nani sasa kama CCM hutaichagua? Maana hata usipofanya hivyo wataishurutisha tume iwapitishe😅Kwa sasa CCM haina mbadala hadi 2050!
Na nyie nao wapinzani tuleteeni jembe linaloweza kuchagulika, siyo watu wenye hasira ambao wanataka kulipiza visasi.Atakae chagua ccm 2025 akapimwe akili
Uko sahihi.Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Walimkejeli sana Lowassa kutokana na afya yake, wengine wakionyesha wana afya njema kwa kupiga pushapu.
Mnahitaji kiongozi kama bashiru anaejua uchungu wa wanaccmNimekumbuka kauli ya Lusinde aka Kibajaji mbunge wa Mtera aliyoitoa bungeni kwamba wanaccm wanaomsengenya hayati Magufuli sasa watamsengenya hata mama baada ya kustaafu 2030 kwani aliyekula nyama ya mtu huwa haachi...
fix, Msukuma ndiyo aliongoza genge la kumtukana Lowassa, ila sijamsikia akimbeza ama kumsimanga Mwendazake.Ndio nimewafuatilia hawa jamaa wanaomsimanga Magufuli na kugundua kuwa ndio wale wale waliokuwa wanamtukana Lowassa 2015 " baada " ya kuhamia Chadema.
Nchi haikuwai kuwa na kiongozi wa ovyo na katili,mwenye roho mbaya kama Mwendazake, bwana yule alikuwa na roho mbaya hadi imechangia kufupisha maisha yake Hata pharao alipowatesa sana wana wa israel Mungu akamuangamizia mbalii,Nimekumbuka kauli ya Lusinde aka Kibajaji mbunge wa Mtera aliyoitoa bungeni kwamba wanaccm wanaomsengenya hayati Magufuli sasa watamsengenya hata mama baada ya kustaafu 2030 kwani aliyekula nyama ya mtu huwa haach...
[emoji23][emoji23]Atakae chagua ccm 2025 akapimwe akili
Naona kula dalili sisi team Magufuli kuanzisha chama kuelekea uchaguzi 2025 na kuchukua nchi kiurainiiUtamchagua nani sasa kama CCM hutaichagua? Maana hata usipofanya hivyo wataishurutisha tume iwapitishe😅
Hiko chama ndio wanasubiria kianzishwe ili waanze kupambana nacho! ACT wazalendo naona kipo kimya😅Naona kula dalili sisi team Magufuli kuanzisha chama kuelekea uchaguzi 2025 na kuchukua nchi kiurainii
Amini nakuambia, Chama kitakacho nadi Sera za Magufuli kitachukua nchi asubuh kweupe. Hata km ccm wakiiba kura.Hiko chama ndio wanasubiria kianzishwe ili waanze kupambana nacho! ACT wazalendo naona kipo kimya😅