π π π π π πAmini nakuambia, Chama kitakacho nadi Sera za Magufuli kitachukua nchi asubuh kweupe. Hata km ccm wakiiba kura.
Magufuli alishajitengenezea wapiga kura wanaomkubali wengi sana.
Achana na hawa makasuku wa JF
Umenikumbusha Sadifa!Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Walimkejeli sana Lowassa kutokana na afya yake, wengine wakionyesha wana afya njema kwa kupiga pushapu.
Akina Mmawia!Amini nakuambia, Chama kitakacho nadi Sera za Magufuli kitachukua nchi asubuh kweupe. Hata km ccm wakiiba kura.
Magufuli alishajitengenezea wapiga kura wanaomkubali wengi sana.
Achana na hawa makasuku wa JF
Amini nakuambia, Chama kitakacho nadi Sera za Magufuli kitachukua nchi asubuh kweupe. Hata km ccm wakiiba kura.
Magufuli alishajitengenezea wapiga kura wanaomkubali wengi sana.
Achana na hawa makasuku wa JF
HATA MAMA ATATUKANWA na Hao HaoNimekumbuka kauli ya Lusinde aka Kibajaji mbunge wa Mtera aliyoitoa bungeni kwamba wanaccm wanaomsengenya hayati Magufuli sasa watamsengenya hata mama baada ya kustaafu 2030 kwani aliyekula nyama ya mtu huwa haachi.
Ndio nimewafuatilia hawa jamaa wanaomsimanga Magufuli na kugundua kuwa ndio wale wale waliokuwa wanamtukana Lowassa 2015 " baada " ya kuhamia Chadema.
Sijajua wanaccm hawa wanataka kiongozi wa namna gani?!!!
Ngachoka kabisa!
Maendeleo hayana vyama.
Bora kuchagua jiwe ,Kwa sasa CCM haina mbadala hadi 2050!
Mkuu waislamu wanasema ukishindwa kukemea jambo ovu bora hata uonyeshe kuwa hujafurahi na huungi mkono, hapo bora ufanye lolote kuliko kutia tiki yako kwa hao jamaa, itaonekana umeunga mkono uovu, wacha wajipe wenyewe , yana mwisho,Utamchagua nani sasa kama CCM hutaichagua? Maana hata usipofanya hivyo wataishurutisha tume iwapitishe[emoji28]
Bora kuwapotezea tyMkuu waislamu wanasema ukishindwa kukemea jambo ovu bora hata uonyeshe kuwa hujafurahi na huungi mkono, hapo bora ufanye lolote kuliko kutia tiki yako kwa hao jamaa, itaonekana umeunga mkono uovu, wacha wajipe wenyewe , yana mwisho,
Atakae chagua ccm 2025 akapimwe akili
Mkishakula na kushiba tu pale Lumumba,akili zinawahama kabisa na kuendelea kuimba mapambioKwa sasa CCM haina mbadala hadi 2050!
ccm ni wanafkiNimekumbuka kauli ya Lusinde aka Kibajaji mbunge wa Mtera aliyoitoa bungeni kwamba wanaccm wanaomsengenya hayati Magufuli sasa watamsengenya hata mama baada ya kustaafu 2030 kwani aliyekula nyama ya mtu huwa haachi.
Ndio nimewafuatilia hawa jamaa wanaomsimanga Magufuli na kugundua kuwa ndio wale wale waliokuwa wanamtukana Lowassa 2015 " baada " ya kuhamia CHADEMA.
Sijajua wanaccm hawa wanataka kiongozi wa namna gani?!!!
Ngachoka kabisa!
Maendeleo hayana vyama.
MUNGU ni FUNDI kawanyoosha wote wamekuwa MatutaMwacheni Mungu aitwe Mungu.
Walimkejeli sana Lowassa kutokana na afya yake, wengine wakionyesha wana afya njema kwa kupiga pushapu.