Waliomzushia kifo Rais Museveni kukamatwa

Waliomzushia kifo Rais Museveni kukamatwa

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Rais Yoweri Museveni ameagiza vikosi vya usalama kuwatafuta kwa haraka watu walioneza habari za uongo za kifo chake.Rais Museveni aliyasema haya katika sherehe ya kuapishwa kwa wabunge katika uwanja wa Kololo mjini Kampala.

My Take:
Nahisi kuanza kupata majibu ya kwa nini wakuu waliogopa kuconfirm taarifa ya kuugua kwa Shujaa,
 
Akatubu mapema sana aitishe uchaguzi wa haki, huu mwaka Mungu anapangua Madikteta duniani
 
Niliiona hiyo habari ya kifo chake last week, sjui kwanini walizushia
 
Km ni mzima na kwa uzushi ule!!! basi jua huyu mzee ataishi maisha marefu sana!!! Ila Uganda ilitulia mno kwa Uongozi wake wale kina Binaisa ,, yusufu rule, sijui nani huyu Obote wale Maboya tu!! huyu ndo mwamba ndugu zetu wametulia tuli!!

Africa mashariki tumefanya Biashara safi sana muacheni msimfuate fuate kaguta ni utajiri kwa wana east africa km wewe hufaidi ni ujinga wako!!1 mtuacheni Mseveni endelea tu kambi salama tutakupa Bongo
 
Rais Yoweri Museveni ameagiza vikosi vya usalama kuwatafuta kwa haraka watu walioneza habari za uongo za kifo chake.Rais Museveni aliyasema haya katika sherehe ya kuapishwa kwa wabunge katika uwanja wa Kololo mjini Kampala.

My Take:
Nahisi kuanza kupata majibu ya kwa nini wakuu waliogopa kuconfirm taarifa ya kuugua kwa Shujaa,
Ila ukweli ni kwamba kanusurika kufa
 
Hivi jamaa yeye haitaji kuombewa kama wa huku kwetu alipenda tumfanyie?
 
Back
Top Bottom