Walionasana kimeeleweka

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Wale mahawara walionasana kama mbwa tayari mwenye mke kawanasua kwa dau nono.
Awali mwenye mke alitaka alipwe Milioni 16 ili awanasue mahawara hao ikaonekana mwenye mwanaume hana dau hilo wadau wakashuka nae mwenye mke mpaka akakubali alipwe Milioni 5 maana anadai aliwashuku toka kipindi kirefu wanafanya uzinzi alipo muuliza mke wake aliruka kihunzi na kukataa kata kata na alipo mfuata jamaa nae ikawa hivyo hivyo basi mme wa huyo mwanamke akakomaa na hiyo Milioni 5 ili awanasue iliposhindikana hilo dau jamaa mwenye mke akaondoka ikabidi wadau wachangishane ikafika Milioni 2 wakamfuata mwenye mke akakubali kwa sharti la kupewa hizo Milioni 3 zilizo salia basi akaenda kuchomoa usinge jamaa akachomoka kwenye uke sasa jamaa yupo huru ila ana deni la Milioni 3 kwa mgoni huyo.
 
hahahahaah harudi tena kufanya kosa kama hilo,na huyo mwanamke duh bonge la aibu.
 
"Ila wake za watu watamu jamani", mapenzi ya haraka haraka haya wataalamu wanasema matamu sana
Mnakutana kama kuku cha cha cha umemaliza unasikilizie tena chachacha
 
Good, mjasiriamali bana safi sanaKaona opportunity, kairukia, kajua atapambana vipi na kompetita.
 
Akumbuke Kulipa deni vinginevo utatuletea taarifa ya maafa mengine dhidi yake tehe! tehe! tehe!
 
Nipeni namba ya huyo mganga na mimi nimfanyie kweli wangu....
 
"Ila wake za watu watamu jamani", mapenzi ya haraka haraka haya wataalamu wanasema matamu sana
Mnakutana kama kuku cha cha cha umemaliza unasikilizie tena chachacha
Na wewe natamani unasishwe ili ukome kuchukua wake za watu, si uoe wako!!!!!!!!!!!
 
LMfAO!
Sasa huyo baba amgawie mkewe hela ili wafanye biashara kabisaa! Mama anaenda huko, ananasishwa na wanachukua donge nono!
 
Kuna Babu mmoja wa Magomeni, Bagamoyo aliniambia kuwa hiyo dawa ikimshika mtu, baada ya kutolewa huwa anafariki baada ya muda mfupi yaani kuanzia miaka miwili hadi 3 baada ya tukio. Sasa sijui kama ni kweli au Babu alitumia busara zake kutahadharisha kuhusu vya watu.
 

Si wamevunja rikodi ya uroda hao? Wako wapi Guiness????
 
nac kia ndan ya hz cku chache mahawala wamekonda kama wana nanh hii....teh teh mweee
 
ooooooooooh hatuamini uchawi,haya msije mhusisha mungu ktk hilo
 
Ndoa zao zimebakia salama au kuna waliopigana kibuti?
 


Mke wa mtu sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…