Hii nchi kuna makosa huwa mnafunga watu miaka mingi lakini ni ya kawaida sana.
Kosa la kung'oa viti ni kosa la uhujumu uchumi. Hao ndio watu wasiojali kuharibu hata miundo mbinu mingine ya serikali kama alama na taa za barabarani.
Serikali haitakiwi kucheka na nyani.Wafungwe gerezani na kazi ngumu ili iwe fundisho.
Nina hasira sana na vitendo hivyo vya kihuni.Asee mkiwaacha,mtakuwa mmefuga ugonjwa hatari sana.