Wazo zuriHii nchi kuna makosa huwa mnafunga watu miaka mingi lakini ni ya kawaida sana.
Kosa la kung'oa viti ni kosa la uhujumu uchumi. Hao ndio watu wasiojali kuharibu hata miundo mbinu mingine ya serikali kama alama na taa za barabarani.
Serikali haitakiwi kucheka na nyani.Wafungwe gerezani na kazi ngumu ili iwe fundisho.
Nina hasira sana na vitendo hivyo vya kihuni.Asee mkiwaacha,mtakuwa mmefuga ugonjwa hatari sana.
wanachukulia ni "matukio michezoni" ni kama mchezaji akimkwatua mwenzake akaanguka akafa, mchezaji huyo hashitakiwi kwa murder . ni kama matukio mengi michezoni (kwenye football) yanasimamiwa zaidi na FIFA/CAFTunachekeana sana ila hapa alitakiwa awajinibishwe mtu binasfi
Wote, club na walioahusika. Angalizo ili kulikomesha hili mtu mmoja mmoja, (binafsi), lazima awajibishwe, kwa maana bila kufanya hivyo litakuwa ni donda ndugu a.k.a tabuleleTunachekeana sana ila hapa alitakiwa awajinibishwe mtu binasfi
Wanaenda.kujifunza kilimo ili wakitoka huko wawe wabobezi kwenye kilimoHii dhana ya kuona Kilimo Ni adhabu kwa wahalifu ndio inafanya Tz tuendelee kuwa masikini badala ya kuona Kilimo Ni ajira na sekta nyeti
Kwa hiyo tuwafuate kule nchini kwao tuwalete na kuwatupa mung'anda?Hii nchi kuna makosa huwa mnafunga watu miaka mingi lakini ni ya kawaida sana.