Swali la msingi naamini ni hilo hapo juu!!!
Bila shaka hawawezi kujitokeza wengi maana wao si rasmi! kwahiyo kwasababu mbalambali hata ungekua ni wewe isingekua rahisi kwenda kusikiliza mashitaka lakini naamini wengi wao kama wapo watakua wanafuatilia kwa karibu! hata hivyo itategemea mahusiano yalivyokua kabla ya haya yote kutokea!
Eheeeeeeeeeee! sasa hizo quotation za nini? lakini bado najiuliza sielewiZion G .! Unaona watu wenye upeo wa kutambua mambo hawa ! we unamuliza mtu Rais wa Tanzania anaitwa nani kisha anakupa jibu kwamba anaishi Kibaha...Unategemea nini kwa mtu wa jinsi hiyo ?!
nani mwenye uhakika hana?
Wewe je umepima?hao wanawake walipimwa kabla
hawajaenda kwa liyumba?
Siku zote wabongo ni watu wa kuunga unga maneno, ni watu wa kuzushazusha vijihabari kila kukicha...
Ishu iko wazi, na ndani ya ishu kuna swali linalouliza je kuna ripoti gani ya daktari inayothibitisha Mzee Amatus ameathirika?
Msikimbie swali then acheni kupima kwa macho watanzania.
Marehemu Linda 'mwenyezi Mungu amrehemu na kumuepushia moto wa jehanam' alipofariki wabongo 1st mkathibitisha kuwa ni ngoma.
Na cha kusikitisha zaidi mkadai binti yule alishawahi kutembea na Baba yake yaani mzee Liyumba.
Sasa je hii ni heshima?
Je kuna mwenye ushahidi?
kuna wakati mnatakiwa mbadilike...
Wewe ndio wa kwanza tunahitaji kuona mabadiriko yako!! wacha kujudge Kitabu kwa kutazama cover..!! Soma maelezo ya watu wacha kukurupuka kama mtoto wa darasa la kwanza !!!
nini?RIP LIYUMBA THE DON
(SORE OFF TOPIK) ZD hao nlobold hapo sirikali imetangaza itaanza kuwakamata kuanzia sasa NIMESKIA KTK HABARI ZA MAZEGETI
Liyumba is my hero,
yeyote anaeweza fanikiwa kuwalamba
wanawake anaowataka is my hero,,,,
suala la kumshawishi mwanamke akuvulie chupi sio
jambo rahisi hivyo.wapo watu wana pesa na wanashindwa
DuuuuuhMarehemu Linda 'mwenyezi Mungu amrehemu na kumuepushia moto wa jehanam' alipofariki wabongo 1st mkathibitisha kuwa ni ngoma.
Na cha kusikitisha zaidi mkadai binti yule alishawahi kutembea na Baba yake yaani mzee Liyumba.
Sasa je hii ni heshima?
Je kuna mwenye ushahidi?
kuna wakati mnatakiwa mbadilike...
duhLiyumba is my hero,
yeyote anaeweza fanikiwa kuwalamba
wanawake anaowataka is my hero,,,,
suala la kumshawishi mwanamke akuvulie chupi sio
jambo rahisi hivyo.wapo watu wana pesa na wanashindwa