Walionyimwa mkopo na heslb tujadili tufanyeje kabla ya reg.kufungwa vyuoni

BONANJE

Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
34
Reaction score
3
Hawa jamaa kuna watu wamewanyima mkopo kwa sababu za kitoto kabisa eti
1.kozi siyo priority wakati kuna wanafunzi wamepata mikopo bila kujali kozi za kipaumbele,
2.vilevile wamesema Tcu walikosea kuweka baadhi ya kozi ni ya kipaumbele wakati siyo ya kipaumbele
3.Budget ilifika mwisho jaribuni mwakani wanaamini vp bajeti mwakani itatosha
4.Wengine wamekosa kozi ni priority kisa ni equivalent wamemaliza form four zamani sana
5.Hivi waliowanyima mkopo wanatarajia watasoma lini????? na mwaka gani
TUJITAHIDI TUFANYE TUWEZALO TWENDENI BODI TUKALALE PALE PALE HIVI UTARATIBU UKOJE?KWANZA WAMEFICHA KUSEMA WAZI WALIOKOSA MKOPO ILI UMMA USIJUE,SASA TWENDENI SOTE TUKAONEKANI....
 

mh:'(! Jana SUA tumetoka huko yalotukuta..........,..
 
Ni yap yalowakuta wana sua?!2juzane!
 
watanzania tunatakiwa tubadilike hasa wasomi hawaisaidii nchi kabisa.inakuwaje mwenye sifa akose,bodi waache unafiki .
 
kuna kijana hapa jirani ''family friend'' alipata ifm last year akakosa mkopo.. Home hali tete ikabidi aache mwaka upite,. Mwaka huu kapata chuo mkopo hamna tena.na ana alama nzuri tu...MBAYA ZAIDI MZEE WAKE KAFARIKI LAST WEEK.. huyu kijana yuko very stressed... The system is not fair at all
 
HELSB tatizo ni Ten Percent cause hata waliopata mkopo wengi hawana vigezo na pia Undugu na kujuana ndiyo unasababisha yote haya. Kwa uwezo wa Allah yataisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…