Waliookotwa majalalani siyo watumishi wa umma, ni akina Kabudi

Waliookotwa majalalani siyo watumishi wa umma, ni akina Kabudi

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Kabudi ndiye aliyekubali kuwa kaokotwa jalalani, siku ile Tundu Lissu alimaanisha huyo wala hakumaanisha wafanyakazi wengine. Hivyo vikazi vidogovidogo wanapewa majada wa chama siyo watumishi wenginee

ACHENI UPOTOSHAJI
 
Mataga ni watu wa ovyo sana!. Haiwezekani upo kwenye ajira tangia enzi za Mkapa, leo unashikilia bango kuhusu mtu wa kuteuliwa kujinadi yeye mwenyewe kuwa wa jalalani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watumishi wa umma wahovyo Sana,kwaakili hizo ndiyo mana hamuongezewi mishahara
 
Back
Top Bottom