Kabudi ndiye aliyekubali kuwa kaokotwa jalalani, siku ile Tundu Lissu alimaanisha huyo wala hakumaanisha wafanyakazi wengine. Hivyo vikazi vidogovidogo wanapewa majada wa chama siyo watumishi wenginee
Mataga ni watu wa ovyo sana!. Haiwezekani upo kwenye ajira tangia enzi za Mkapa, leo unashikilia bango kuhusu mtu wa kuteuliwa kujinadi yeye mwenyewe kuwa wa jalalani.