KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 540
Katafute hilo gazeti utaziona. Zipo kibao nitamaliza ukurasa wote kuorodhesha hapa. Fanya nawe kazi yakopost zp!!!!!!!!!
cheki post ya Didii ina link Document Details | TANGAZO LA USAILI - MAADILI, RAS KILIMANJARO, PPAA, RUANGWA & NACHINGWEA 18 - 21 APRILI 2012Tunaomba mtuwekee ndugu waheshimiwa
naomba kujuzwa ndugu zanguni,Ahsante sana mdau uliepost hii kitu,nimeitwa kwenye interview,naombeni mniombee wana JF..
naomba kujuzwa ndugu zanguni,
kuna zile nafasi zilitoka pia utumishi za maaafisa ushirika(cooperative officers)nafasi za kazi zilikua 20 vipi walishatoa shortlist?
Mana niliomba mda mrefu kidogo tokea mwezi wa pili mwishon
mwenye taarifa tafadhali naomba msaada wa kujuzwa ndugu zanguni
Endelea kupitia kwenye website ya utumishi kila mara unaweza kubaatisha tangazo la kuitwa.
Wana JF kama una ndugu au jamaa aliyekuwa ameomba kazi utumishi, wametoa maelfu ya majina na kutangazwa kwenye gazeti la daily news la leo Ahamisi (12/04/2012). Hivyo wajulisheni wapendwa wenu ili wajue ni tarehe na mahali gani usahili utafanyika haraka iwezekanavyo maana.
Nawasilisha.