walioomba uafisa tarafa someni hapa

Joined
May 24, 2012
Posts
84
Reaction score
33
mi nimenukuu tu. hOtuba ya Mh Hawa Ghasia

"Mheshimiwa Spika, kujenga uwezo wa Sekretarieti za Mikoa ni pamoja
na kuimarisha utendaji wa Maafisa Tarafa. Mkakati uliopo ni
kuhakikisha kuwa Maafisa Tarafa wanapata vitendea kazi hususan
vyombo vya usafiri na ofisi. Aidha, nafasi wazi za Maafisa Tarafa 145
tayari zimepata kibali cha ajira na mchakato wa kuwaajiri unaendelea."


LABDA TUENDELEE KUSUBIRIA.
 

Watupatie japo bajaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…