Wadau inakuwaje tena mbona selection za cas zilivyotoa kwenye profile waliniandikia selected lkn nimechek saiv nimekuta checkin in progress ni kwangu tu wengine profile zenu ziko vp?
Hata mim nimechek profl angu asubh pamoja na wanangu kama wa 3 iv tuko SELECTED. . Duh jion hii naingia tena kizaazaa kunanin jaman mbna checkng in progres??