Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Muonekano wa wahanga hao kwa macho ya kawaida tu ni sawa na Watumwa wa Muda mrefu ambao wamefunguliwa Minyororo ya Chuma miguuni na mikononi , wamejaa Matumaini Kibao .[emoji419][emoji375]Taarifa zilizopo zinaonyesha kwamba walioondolewa na wanaotarajiwa kuondolewa Tanesco wamepatwa na furaha ya ajabu , kinyume na matarajio ya wengi waliodhani kwamba labda Waenda zao hao huenda wangesononeka ...
Hii ni hatari sana !Muonekano wa wahanga hao kwa macho ya kawaida tu ni sawa na Watumwa wa Muda mrefu ambao wamefunguliwa Minyororo ya Chuma miguuni na mikononi , wamejaa Matumaini Kibao .[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
DaaaahTANESCO sio shirika la umeme, ni chimbo la wanasiasa wa CCM wakati wa kampeni
Per Diem Ile IleTaarifa zilizopo zinaonyesha kwamba walioondolewa na wanaotarajiwa kuondolewa Tanesco wamepatwa na furaha ya ajabu , kinyume na matarajio ya wengi waliodhani kwamba labda Waenda zao hao huenda wangesononeka ...
Ohooo !!!Ha ha Erythrocyte ametegesha mada.
Upo uwezekano mkubwa anasubiri maswali na majibu ya mtego, kamavile
Kuna nini TANESCO kilichowafanya hawa "Wahanga" kujisikia wakiwa na misumari vichwani?
Halafu ajibu: 'Usambazaji wa Umeme ni kazi kubwa sana, inahitaji vichwa vilivyotulia na hawa wahanga walikuwa hawajatulia,si unajua 'Waafrika walivyo' ni wavivu wa kufukiria -yani ni same old script ya mababeru ya kudhihaki ambayo inahusisha kudhalilisha, kufedhehesha, kutukana, kuaibishana n.k Sasa utajasikia-ati inapaswa TANESCO igawanywe, wapewe wazungu' ndugu zake au wabinafsishe, kana kwamba ndio mbadala. Au, atajibu... Sio Unajua Watanzania au Waafrika hawana hisia au Uchungu! In short anadai Maharage hana Hisia na hivyo basi hana ubinadamu-fikra ambazo zimetawala wazungu na vibaraka na mawakala wao wa sera za kibeberu. Bigoted thoughts.
This is so low.
Waondoke na miradi yao hewa ya umeme solar, na kanzi dataTaarifa zilizopo zinaonyesha kwamba walioondolewa na wanaotarajiwa kuondolewa Tanesco wamepatwa na furaha ya ajabu , kinyume na matarajio ya wengi waliodhani kwamba labda Waenda zao hao huenda wangesononeka .
Furaha hii ni Ishara ya wahusika kuondolewa kichwani mwao Gunia la misumali , haiwezekani mtu aliyehamishwa kazi , kubadilishwa kituo cha kazi au kuondolewa kabisa awe na furaha , iweje hawa wa Tanesco wawe na amani kiasi hiki , Pana nini hapo Tanesco ?
Muonekano wa wahanga hao kwa macho ya kawaida tu ni sawa na Watumwa wa Muda mrefu ambao wamefunguliwa Minyororo ya Chuma miguuni na mikononi , wamejaa Matumaini Kibao .
Ile mitungi ya gesi itakuwaje sasa ?Waondoke na miradi yao hewa ya umeme solar, na kanzi data
Amevuna vya kutosha ndio maana hawajali. Haitoshi kuwaondoa tu wawaite takukuru wahakiki na mali zao uone maajabu.Taarifa zilizopo zinaonyesha kwamba walioondolewa na wanaotarajiwa kuondolewa Tanesco wamepatwa na furaha ya ajabu , kinyume na matarajio ya wengi waliodhani kwamba labda Waenda zao hao huenda wangesononeka .
Furaha hii ni Ishara ya wahusika kuondolewa kichwani mwao Gunia la misumali , haiwezekani mtu aliyehamishwa kazi , kubadilishwa kituo cha kazi au kuondolewa kabisa awe na furaha , iweje hawa wa Tanesco wawe na amani kiasi hiki , Pana nini hapo Tanesco ?
Muonekano wa wahanga hao kwa macho ya kawaida tu ni sawa na Watumwa wa Muda mrefu ambao wamefunguliwa Minyororo ya Chuma miguuni na mikononi , wamejaa Matumaini Kibao .
Samia alichaguliwa sababu ya uanamke wake na si uwezo wake.
Wamemaliza ujuma yaoTaarifa zilizopo zinaonyesha kwamba walioondolewa na wanaotarajiwa kuondolewa Tanesco wamepatwa na furaha ya ajabu , kinyume na matarajio ya wengi waliodhani kwamba labda Waenda zao hao huenda wangesononeka .
Furaha hii ni Ishara ya wahusika kuondolewa kichwani mwao Gunia la misumali , haiwezekani mtu aliyehamishwa kazi , kubadilishwa kituo cha kazi au kuondolewa kabisa awe na furaha , iweje hawa wa Tanesco wawe na amani kiasi hiki , Pana nini hapo Tanesco ?
Muonekano wa wahanga hao kwa macho ya kawaida tu ni sawa na Watumwa wa Muda mrefu ambao wamefunguliwa Minyororo ya Chuma miguuni na mikononi , wamejaa Matumaini Kibao .
Hakuna raha kama umeshapiga vya kutosha mahali mpaka ukawa na hofu ya kuendelea kuwepo mahali hapo ukihofia siku ikibumbulika itakuwaje..kisha unaambiwa unahamishwa..yaani mfumo haukuwajibishi kwa lolote..Taarifa zilizopo zinaonyesha kwamba walioondolewa na wanaotarajiwa kuondolewa Tanesco wamepatwa na furaha ya ajabu , kinyume na matarajio ya wengi waliodhani kwamba labda Waenda zao hao huenda wangesononeka .