Waliopangwa form 1 2015

Waliopangwa form 1 2015

TECHMAN

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
2,651
Reaction score
1,127
Kama kuna mwenyenye link ya wavuti yenye majina tafadhali saidia. nimejaribu necta na moe lakini sijaona
 
Utaratibu mbovu kweli mkuu, inabidi wabadirike bana hii ni dunia ya digital now. Kila kitu kimerahisishwa.
 
digitali baada ya kutengeneza imeharibu, zamani ilikuwa fasta ukiingia ktk wavuti ya
necta umemaliza, teknolojia imekua imeleta usumbufu
 
Back
Top Bottom