TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,651 Reaction score 1,127 Dec 22, 2014 #1 Kama kuna mwenyenye link ya wavuti yenye majina tafadhali saidia. nimejaribu necta na moe lakini sijaona
Kama kuna mwenyenye link ya wavuti yenye majina tafadhali saidia. nimejaribu necta na moe lakini sijaona
Afande Nyati JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,385 Reaction score 1,414 Dec 22, 2014 #2 Utaratibu mbovu kweli mkuu, inabidi wabadirike bana hii ni dunia ya digital now. Kila kitu kimerahisishwa.
Utaratibu mbovu kweli mkuu, inabidi wabadirike bana hii ni dunia ya digital now. Kila kitu kimerahisishwa.
Afande Nyati JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,385 Reaction score 1,414 Dec 22, 2014 #3 http://www.kinondonimc.go.tz/index.php/84-kinondoni/latest-news/184-mnada-wa-magari-na-mitambo. Jaribuni kufungua link hiyo. Kwa wa D'salaam.
http://www.kinondonimc.go.tz/index.php/84-kinondoni/latest-news/184-mnada-wa-magari-na-mitambo. Jaribuni kufungua link hiyo. Kwa wa D'salaam.
Mlalamikaji daily JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 744 Reaction score 1,621 Dec 22, 2014 #4 nenda kwenye halmashauri au shule husika.
Swahilian JF-Expert Member Joined Apr 28, 2009 Posts 591 Reaction score 69 Dec 22, 2014 #5 digitali baada ya kutengeneza imeharibu, zamani ilikuwa fasta ukiingia ktk wavuti ya necta umemaliza, teknolojia imekua imeleta usumbufu
digitali baada ya kutengeneza imeharibu, zamani ilikuwa fasta ukiingia ktk wavuti ya necta umemaliza, teknolojia imekua imeleta usumbufu