Msaada kwa hili jaman hivi ni kweli waliopata alama 32-34 watasoma ualimu miaka mitatu?
Hizo tetesi NI uongo tembelea website ya wizara kwa uhakika
"Watakaofaulu mafunzo kabilishi wataendelea mwaka wa pili wa mafunzo ngazi ya cheti daraja la IIIA "
sasa hao daraja la tatu A wanasoma miaka 3?
Msaada kwa hili jaman hivi ni kweli waliopata alama 32-34 watasoma ualimu miaka mitatu?
hapo nimeelewa....utasoma mwaka mmoja (bridging course) then utafanya mtihani na ukifaulu utaruhusiwa kumalizia mwaka mwingine mmoja (wa pili). hivyo jumla ni miaka miwili tu kama kawaida otherwise wa miaka mitatu ni wale wa stashahada. umeelewa???
Itaumbuka wizara ya Elimu kwa sababu mie nimetumia information zilizopo ktk Tovuti ya wizara ya Elimu kwenye Tangazo la mafunzo ya ualimu,otherwise kama labda Kuna means nyingine ya kuprove tetesi bila document
Kk eleza bc source ama gazet la h leo nijuavyo haya mambo huenda kwa waraka.ss upi na wa lini.jama msitoe mambo kw kuliwaz watu huenda bora washikilie walipo.waraka ni bora zaid kuliko maelezo
jamani nisaidieni nijue,eti post zinatoka lini?