Waliopata email ya training confirmation hd co ltd arusha.....

Waliopata email ya training confirmation hd co ltd arusha.....

pussi

New Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
2
Reaction score
1
Wadau nimepata email kutoka kwenye hiyo kampuni HD CO LTD iko Arusha ila mimi nina wasi wasi na hawa watu mimesearch kila mahali sijaiona hii kampuni alafu still wanatwambie tulipe tsh 10,000 kwenye m pesa kwa ajili ya training hapo hapo eti watatulipa per diem kila siku kwa siku sita tukiwa kwenye hiyo training......it doesnt make any sense to me!!!!please msaada.....naomba msome hiyo confirmation hapo.
 

Attachments

Hata mi naona hiyo ndio njia rahisi wakate huko huko,sasa kama wanatulipa kuna aja gani ya sisi kulipa 10,000,yaani uombe kazi alafu usafiri mpaka training ilipo then ulipe na pesa juu duhhhhh hawa jamaa bana
 
Mwana jf ukilipa utaingia chaka. Hawa watu wanaonekana wababaishaji, hicho kiingereza chenyewe umekisoma kwa makini?
 
Wajibu hiyo Email yao, waambie hiyo 10,000/= wakate kabisa katika ile per diem watakayokulipa. simple & clear.

Mkuu inawezekana hiyo per diem yenyewe ni shilingi mia5 kwa siku, so siku sita ni buku tatu, endapo watakukata juu kwa juu ile elfu 10 waliyokwambia utume kwa Mpesa, watakuwa bado wanakudai elf4.
 
Wadau nimepata email kutoka kwenye hiyo kampuni HD CO LTD iko Arusha ila mimi nina wasi wasi na hawa watu mimesearch kila mahali sijaiona hii kampuni alafu still wanatwambie tulipe tsh 10,000 kwenye m pesa kwa ajili ya training hapo hapo eti watatulipa per diem kila siku kwa siku sita tukiwa kwenye hiyo training......it doesnt make any sense to me!!!!please msaada.....naomba msome hiyo confirmation hapo.

hainingii akilini hapo, kwa akili ya kawaia tu hiyo kitu haiwezekani,wapotezee au kama una muda fuata ushauri wa mdau hapo juu, waambie wakate hiyo 10,000/= huko kwenye per diem, pumbavuuu hao, siku hizi naona wamezidi matapeli wa aina hii, wanatumia loop hole ya tatizo la ajira kuwatapeli watu, pumbaaaaaaaaaaaaavu
 
Mhh.... hiko kiingereza KIBOKO!!! did you understand anything? If it sounds too good to be true, then it IS too good to be true. Usizame huko! I would advise you to call the hotels that are listed and speak with the managers and ask if such an event has been booked but to be honest I wouldn't go for this if I were you! utapoteza 10k yako bure!
 
Dear Applicant:
Re: To application for Graduates Business Administration/Management.
HD CO LTD: This is the company with headquarters in Arusha city and the leading branch at Dar-es-salaam. The company's main activities are Processing and Selling Minerals (ie Tanzanite), Tours and travel services and Marketing & distribution of Beverage Products. This year the company diversifies its portfolio branches to different regions such as Moshi, Morogoro, Mwanza, Mbeya, Iringa, Tanga and Dodoma, this is because of the increase in demand of our products.
So the company needs to recruit the dynamic and self motivated personnel to fill the following position;
1. Assistant marketing officers (20 post)
2. Sales representatives (50 post) Regionwise
3. Supplier officers (30 post)
Due to a huge number of applications received the management decided to review each candidate resume and shortlist the best qualified candidates who will meet our HR and Line managers' team during training. The training schedule will start 26[SUP]th[/SUP] Nov 2012 to 1[SUP]st[/SUP] Dec 2012 which covers one weak only before 3[SUP]rd[/SUP] Dec 2012 where by the applicant will sign the contract and be allocated in one of our offices country wide.
Places and venues for training will be as follows.
Place
Venue
Candidates from
Arusha
Golden Rose Hotel
Arusha, Moshi and Tanga
Dar-es-salaam
Tanzanite Executive Suite
Dar-es-salaam and Morogoro
Dodoma
Dodoma Hotel
Dodoma

Mwanza
Annex Hotel
Mwanza
Mbeya
Royal Tughimbe Hotel
Mbeya and Iringa

How to confirm:
In view of the fact that the enrollment team they don't have sufficient riches to prepare and to deposit chic the scene for Training, then who suppose he/she deserve and have delve into Ethics you will be required to pay Tsh 10,000/= as a Training bill for Six days not for Each days but for all training even though you will be paid per day on Each day of Training and gone Training Each Participants will be Awarded credential for eligible to HD CO Ltd products. The applicant needs to affirm the locality he/she is located and where he/she will attend the training after paying his/her training bill.



How the amount of payment will be implemented:
The imbursement will be ready in the course of M-PESA:
(+255 764-660443)
You will memo only the name of Director of Human Resource (HR Director) of HD CO Ltd on Behalf of the CEO.
Name: ERICK SAMSON URASA; (Director Human Resource Department HD CO LTD).
If you will forfeit by using your Friend number please before payment communicate with us because we will letter the Name of applicant According to the name who have registered for M-pesa, and when the number required applicant completed we will seal to entertain the riches for those who will tardy we will turn your wealth.
Deadline for payment: 1600 hrs on 24/11/2012
Thanks
HR Director:
ERICK SAMSON URASA
Email: hdco.ltd_hr@yahoo.com
Mobile 🙁 +255 764-660443)



MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA---MATAPELI HAWA
:tape:

 
Hawa watu ni wezi na sijui kwa nin hata hizo venue zilizotumiwa wamekaa kimya,maana leo i went Tanzanite executive suite hakuna kitu kama hicho kwenye roaster yao tena tukio la week lisiwepo kwenya ratiba how? haingii kichwan nilishtuka nkaamua kufuatilia these pipo wa kushtaki watu wapo desperate na kazi wao wanatake advantage thats a crime nafikiri vodacom wanaweza kusaidia katika hili maana hata pesa zinapokelewa kutoka mpesa conection zikifanywa watapatwa maana trust me kuna watu washalia tayari
 
Back
Top Bottom