Unapokumbuka juu ya viongozi wazalendo na wa kupigiwa mfano nchini lazima umtaje Sheik Abeid Amani Karume. Huyu alikubali kwa ujasiri mkubwa kuungana na Tanganyika na kuzaa Tanzania.
Busara ilimtuma mapema kabisa kujua kuwa we are stronger together.
Angekuwa na uroho wa madaraka asingekubali ku compromise sovereignty ya Zanzibar.
Mzee huyu ni kama zege iliyotumika kujengea msingi wa taifa.
Mzee Rashid Mfaume Kawawa aliitumikia nchi kwa uzalendo wa hali ya juu huku akikubali kushushwa na kupanda ndani ya Serikali ya Mwalimu. Ni mmoja wa waasisi wa taifa hili kama tu walivyo akina John Adams Rais wa pili wa Marekani. Mzee Kawawa Ali sacrifice mengi kufanikisha ujenzi wa Tanzania.
This soft spoken hero hatosahaulika katika historia yetu.
Bibi Titi Mohamed ni mama shupavu kabisa ambaye mchango wake katika ujenzi wa taifa utakubukwa milele.
Alihatarisha sana maisha kwa kuwa Tanu active member na outspoken critic wa Waingereza. Sina hakika kama huyu mama ameenziwa vya kutosha. Nadhani kupewa barabara tu haitoshi. Mama Maria Nyerere ana nafasi kubwa sana katika historia ya Tanzania. Tumuenzi daima mama yetu huyu.
Mzee Salim Ahmed Salim naye ni hero on his own right. Sintowasahau akina Sykes na Mzee Rupia ambaye tunaambiwa alikuwa akiichangia Tanu fedha na hivyo kugombana na wakoloni.
Ali sacrifice biashara zake and that makes him a hero. Mzee Kingunge nae ametoa mchango mkubwa kwa nchi. Aenziwe.
Mzalendo maarufu mwingine ni Edward Sokoine. Alipambana na mafisadi hadi tone la mwisho. Hata alipokuwa anazungumzia mapambano dhidi ya rushwa unaona kabisa inatoka moyoni.
Mzee Augustine Mrema ni kiongozi mwenye unquestionably uzalendo. Alionesha njia akiwa Home Affairs. The rest is history.
Mzee Sitta alionesha uzalendo wa hali ya juu alipokuwa akiongoza Bunge kati ya mwaka 2005 na 2010 na baadae Bunge la Katiba mwaka 2014. Ni mmoja wa wazee walioipenda nchi yetu kwa dhati kabisa.
Bila shaka mzalendo namba moja atabaki kuwa Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE. RIP.
Regards...