Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
1/ Hawapendi heshima ya salamu hii shikamoo
2/Wakwe zao (wapenzi wa watoto wao) wakiwaona chap hujiweka kana kwamba wanalingana.
3/Wanaongoza kwa ubabe wa michango ili waonekane wako juu kumbe wanapumulia mifuko ya watoto wao.
4. Hawa wastaafu wanaongoza kwa kujadili maisha (kwa kuhisi) ya watoto wao au vijana wanaowafahamu (kwa ku compare watoto wao vs watoto wa majirani au ndugu).
5/ Wanaongoza kuwa na AC za kila mitandao bahati mbaya hawajui kuset nani aview
6/ Zile cream walizokuwa wanatupiga marufuku ndio rafiki mzuri kwao pamoja na pico
7/ Wana maneno hao akikushikilia kukusimanga huchomoki
8/ Ukipeleka kesi ya mtafaruku na mpenzio cha kwanza kukushauri SIUMWACHE TU NENDA KWA MWINGINE UJUE HAWA WATOTO WETU HATUJUI YA MIOYONI HUENDA ANAE WAKE TUSIE MJUA USIPOTEZE MDA WE KATAFTE MWINGINE 😜😏 hapo ujue umegusa mhimili wake wa pesa (mtoto)akili haifanyi kazi.
Ongezeeni na nyie zenu
NB: naongelea wazee wa miaka ya 1950++.