Magazetini
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 593
- 1,712
Hii system ya kila chuo kutoa list ya wanafunzi waliobahatika kupata mkopo wanapojisikia ndio hivi hivi ilikua na mwaka jana au mwaka huu tu?
Wakuu tupatieni ufumbuzi juu ya hili.
Kwaiyo ndugu unataka kusema technolojia ya mwaka Huu ndio hyo kila chuo kibandike chuoni kwake..? Ebu cheki mfano Hui, kuna jamaa anaishi Arusha-Karatu kule afu chuo amepangiwa SAUT branch ya Mbeya kule. Sasa imagine mtu huyu atajuaje kama jina lake lipo au halipo, na hana ndugu huko wala rafiki. Hii si shida jaman
sindio maana kila chuo kina website yake info zote unazipata UMo.. ukijitetea ohh sijui hana simu/pc si cafe zipo buku tu... leta hoja nyingine.
Enzi Zetu Tunasubiri Kwenye Magazeti..Miaka Hii Mambo Safi Tu.
sindio maana kila chuo kina website yake info zote unazipata UMo.. ukijitetea ohh sijui hana simu/pc si cafe zipo buku tu... leta hoja nyingine.[/QUOT
Nadhan hujanielewa Mkuu, Mimi ninacholalamika ni kwamba , "kwanini wasiweke hizo list kwenye website zao za vyuo na badala yake eti wanabandika chuoni afu kwenye mtandao wao hawaweki kitu. Huoni kama ni usumbufu huo..?
Mfano, (Tetesi) Chuo cha IFM nao wametoa list ya waliobahatika kupata mkopo lakn nimesikia kutoka kwa baadhi ya raia kua majina hayo yatabandikwa chuoni pale. Cha ajabu hakuna chochote kwenye site yao. So what do you think about that now,.

Yashabandikwaa Na Kuna Watu Wametoka huko