Waliopata mikopo HESLB 2014/15

hongera zake
 
Wakuu nichekieni hawa wadau S.1465/0033 mwaka 2006 na P0502/0017/2006 barikiwa sana
 
mmmmh index number yangu bado hai display chochote kama nimepata au nimekosa, tatizo linaweza kuwa ni nini wakuu???
 
mkuu nisaidie kucheki huyu mtu s.548/0033/2011.
 
mkuu nichekie huyu mtu aisee s.548.0033.2011.
 
jmni nusaidieni mwenznu at first ciku apply loan sasa nahitaji kweli mkopo je naweza kuappeal .na procss za kuapeal zikoje ......plz hlp me
 
jmni nusaidieni mwenznu at first ciku apply loan sasa nahitaji kweli mkopo je naweza kuappeal .na procss za kuapeal zikoje ......plz hlp me

Duh.. jaribu bahati yako
 
jmni nusaidieni mwenznu at first ciku apply loan sasa nahitaji kweli mkopo je naweza kuappeal .na procss za kuapeal zikoje ......plz hlp me

Ni lazima particulars zako ziwe heslb ili wafahamu kama unasifa za kupata mkopo
 
naomba msaada wakuu wangu mnisaidie kuangalia s.0173.0160.2011 kila nikijaribu ina goma kufunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…